UNAHITAJI HELP? TULIA, WE GOT YOU!

Ushaijipata kwa situation yenye una-feel ni kama uko solo. Unaeza get help hapa.

 

SITUATION

HELPLINE

Suicide

  • 1190

Stress and Depression

  • 1190

Relationship issues na Ball

  • 0775533117

Pia kuna places unaeza fika upate services bila kuwa judged na msee yeyote. Cheki location yako hapa

Find a clinic near you

What’s your experience? Share your story.