Niaje watu wangu! Ushawai consider food business kama hustle?

Hii industry ya food business imekua na opportunities mob sana kwa vijana. Team ya One Acre Fund iko na opportunities mob sana kama unadai ku-invest in farming.

One Acre Fund ina- recruit young farmers wenye wako na shamba mtaani lakini hawana capital ya ku-get the right supplies kama superior seeds, mbolea na tools zingine za ku-help shamba yako ikue na the best produce. Ku-join One Acre Fund ni simple sana, cheki hizi steps.

Step one:

Dial *689# kwa phone yako na usome instructions.

Step two:

Kama wewe ni first time member, dial 0 alafu u-click option ya ku-join One Acre Fund

Step three:

Fuata process step by step kutoka hapo. Kumbuka, kuomoka in the food business ni rahisi sana ukicheza
game smart!

#PandaPesa